Monday, December 3, 2012

KENYA POLICE BEAT IDPS TAKING THEIR nATIONAL IDS BACK TO GOK

                KENYA POLICE BEATING IDPS AT RURING'U NYERI


IDPS issue has been one thing that GOK has chosen to neglect. IDPS in Nyeri were sad for the way GOK has been treating them, 400 idps had decided to march to Central provincial commission officer to return their ids to the Kenya government after years of what they termed as neglect but all was never to be since the Kenya police attacked them and tortured them.

Kenya police has been accused of using excessive power to intimidate Kenyans who protest. Many find it funny that the police are supposed to keep law and order but they have chosen to break the same law that they are supposed to uphold. Many Kenyans are fearing the police brutality as general elections get closer. For how long are Kenyans going to live in fear in their own country?

Kenya is full of Idps not only from the 2007 PEV but also from Moi era. A visit to Places like Maela, Naivasha, eldoret, subukia, Nyeri and Mai Mahiu proves that indeed GOK has neglected their own. It is very sad that the big wig politicians own so much that they can afford choppers, expensive homes, Switz bank accounts and all that money can buy but some Kenyans that they represent dont even know what they will eat and lack shelter.

Kenyans should join hands and help Idps fight for what is theirs. Idps are not asking for a favor and they have every right under Kenyan constitution to protest when they are neglected.

The millenium development goals remain a pipe dream when GOK can not deal with issues like Idps and Kenya police brutality in this Era.

Saturday, November 3, 2012

Siasa na wizi zaendela kama kawaida

Mwezi ni wa Novemba sasa na tunaelekea kufunga mwaka huu ambao haujakuwa na mabadiliko yoyote nchini Kenya. Mwaka huu umekubwa na siasa mingi tangu mwanzoni maanake kulingana na katiba mzee na pia katiba mpya huu ndio uliokuwa mwaka wa uchaguzi lakini kama kawaida viongozi wanafiki  wanaotaka kujutajirisha waliungana pamoja kupitisha mswanda uliorefusha munda wa bunge hadi Feburuari 2013. Ni thahiri kuwa kuna uwezekano wa uchaguzi tarehe 04/marchi/2012 (Kumbuka kuwa uchaguzi sio lazima).

Wiki hii imekuwa na matukio mengi, kwanza Kinara wa chama cha Odm bwana Raila Odinga amekuwa akitembelea mkoa wa bode la ufa akijaribu kujipigia ndebe. Inaonekana kuwa bwana Raila anajaribu kurudisha  Bwana Ruto kwenye kambi ya Odm kwa kila hali na mali. Bwana Ruto alikiasi chama cha ODM jina lake lilipowekwa kwenye majina ya waliyochochea vurugu baada ya uchaguzi wa 2007. Raila aliomba msamaha kwa jamii ya wakalejin lakini Ruto ameapa kutomuunga Raila Mkono. Bona Raila haombi msamaha kwa jamii ya Agikuyu kama alivyofanya kwa Wakalejin??
Raila ananaonekana akining'inia pande ya wiper na hivi karibuni usishangae ukimwona Kalonzo katika kambi ya Odm. Kalonzo anahistoria ya Kwenda kunakoshinda na itakuwa jambo lakuvutia kuona pande atakayong'atuka. Jee wajua Kalonzo hajawahi kaa kwenye pande ya Upinzani Bungeni?



Bwana Uhuru Muigai anayetarajia kugombea kiti cha Rais na chama cha Tna aliendeleza siasa zake katika mkoa wa kati. Uhuru Muigai alikuwa na mkutano wa madiwani wa Laikipia katika hoteli ya outspan mjini Nyeri. Mkutano huu ulikumbwa na ghasia wakati wanasiasa kutoka mkoa wa kati walipokatazwa kuingia kwenye mkutano. Mpaka wasasa nawaza kwanini Uhuru alithani kuufanya mkutano na madiwani wa Laikipia mjini Nyeri likikuwa jambo mzuri, kwani laikipia hamna majumba ya mikutano??


Kwenye ulingo mwingine mbali na siasa Serikali yetu tukufu imethihirisha ya kuwa Hamna haja kutumia akili. Waliosoma wamegeuka kuwa wajinga wa mwisho. Ununuzi wa mitambo ya uchaguzi ulitarajiwa kugharimu shilingi Bilioni 6.1 ( Sita nukta moja) lakini sasa gharama imebadilika maanake serikali imelipa  shilingi bilioni 2.4  na kuchukuwa mkopo wa shilingi bilioni 7.2 kutoka kwa benki ya standard chartered. Hesabu sasa zinaonyesha kuwa serikali inataka kulipa Shilingi bilioni 9.6 kwenye kadarasi ambayo ilihitaji shilingi bilionio 6.1. Ni wapi shilingi bilioni 3.5 zinaenda? Bona serikali haiwezi kufanya hesabu ndogo hivi?